Victoria Kimani Live Diamond Plaza Nairobi

Hivi leo wapenzi wa soka wakisherekea siku  za kuzaliwa wachezaji mastaa kama Obi Mikel wa Nigeria, Ricardo Kaka  wa Brazil,  Kesho kinanuka jiji la Nairobi. Ikiwa ni siku ya Jumapili tarehe 23 mwezi huu wa nne,atakuwepo live kwenye show.

Victoria Kimani  mwenye album ya ‘Safari’ amepost ujumbe kwenye twitter yake kwamba watu wa Nairobi wake mkao wa kula kwani analeta bonge la burudani pamoja na msanii mwenzake Kevin Lytlle


Ndani ya ukumbi wa Diamond Plaza ‘Roof Top Pool Part’ kutasheheni kila aina ya starehe kwani madj, wasanii na watu mastaa watakuwepo live.

Dress code, Sexy Beach Wear or All White. Show kuanzia saa sita mchana (12pm).

#Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements