New Video: Promise ft Warose -‘Waniwazia Mema’

Je wafahamu msimu wa siasa nchini Kenya umewadia?

Haya basi kama mzelendo ni haki yako kushiriki zoezi hilo la uchaguzi kwa amani. Wasanii wengi wamejituma kutunga nyimbo za kuleta Amani, Umoja na Upendo wakati wa siasa hizo.

Promise kwenye siasa


Promise ambaye ni mwimbaji staa wa gospel Kenya, ameachia wimbo wa kisiasa ili mradi wakenya wafuate ushari wake kudumisha amani Kenya. Promise ft Warose, kwenye collabo hio kwa jina ‘Waniwazia Mema’, wanahimiza ushikamano na utangamano hata baada ya uchaguzi.
Promise amekuwa kwenye ulingo wa siasa licha ya kuwa na shughuli za kidini pamoja na usanii.

Promise


Bofya link hii hapa chini ili kutazama video yao mpya ‘Waniwazia  Mema’

https://youtu.be/UrteW2VtbKY

#Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements