Hon.Mike Sonko made Nancy Wanjiku Horny!!

Waah! Msimu huu wa siasa balaa tupu. Uchumi ukizidi kupanda wapo watakao kushusha pressure kwa viroja na vioja.

Huku uteuzi wa wagombea viti mbalimbali katika miungano tafauti ya vyama vya kisiasa kote nchini Kenya, county ya Nairobi imekuwa ngome ya mbwembwe za kila aina.

Mike Sonko

Licha ya ugumu wa maisha kisa bei za bidhaa,Hon. Mike Sonko Mbuvi senetor wa jimbo la Nairobi na ambaye anawania ugavana mwaka huu, amekuwa kichkesho kupitia Facebook account yake.

Nancy Wanjiku

Baada ya kupost ujumbe kuhusu uteuzi wa wagombea jiji la Nairobi siku ya Jumaatano tarehe 26/4/2017, mwanadada kwa jina Nancy Wanjiku ameanika ya moyoni kupitia comment yake matata iliyozua hisia kali za mahaba mbali na ushabiki.

Hii ndio hali halisi;


Sonko alijaribu kujitetea na kuweka hali shwari ila nao mashabiki wakampotezea ile mbaya!!

#Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements