Mzazi Tuva sio mlezi wa vipaji!! 

Haya kama hujafahamu kwanini muziki wetu hujafika mbali, basi ya leo kali.

Mzazi Tuva ndani Radio Citizen


Mzazi Willy M Tuva ambaye ni radio na television presenter Citizen ya Royal Media Services, anashtumiwa kuwa mbaniaji na mkandamijazi wa vipaji kwani anadaiwa kujihusisha na cartels za muziki East Afika.
Hapa kuna ujumbe kamili kutoka kwa msanii underground wenye hisia kali kuhusu hilo;

Here is the full text:Dear Willy M Tuva.

Mimi leo nasema wazi na siogopi mtu . One of the biggest enemies to our music industry ni huyu jamaa anajiita Mzazi Willy M Tuva.

Mwanzo kabisa mtu nguyas tuelezane ukweli .Wewe si mzazi wala mlezi . you are just a notorius cartel who has made life difficult for other talented artistes .

Tuva leo ntaongea na siogopi kitakachonipata mimi mbeleni .Nimekubali kuuwawa, kufungwa na hata kudhulumiwa as long as al speak my mind.

Tuva wajifanya una roho safi sana tena wa kusaidia wanamuziki lakini ni kinyume. wakenya itabidi waambiwe ukweli leo. una tabia mbaya ya kulalia pande mbili za industry hii. hiyo ni mombasa na Tanzania.

ningependa niseme wazi na si kwa kuogopa mtu ,kwamba jina langu liko katika black book chenu ambacho kimesambaa within your circle of fellow radio cartels ambao kamwe hawatawahi nicheza.

Iwapo ntasema uongo mola anisamehee. kuna wakati niliachia kazi ikakufikia kisha mimi mwenyewe nikaona mafans wangu wametumana request nichezwe haukuicheza wala kusoma comment yenyewe.Hiyo inaonyesha upendelea.

I know sijafika level ya Diamond platnumz ama Akothee ambao wameshinda wakikulipa ili uzidi kuwamarket, ila one thing you need to know is that the constitution protects us all.

Radio Citizen imekuwepo before na itakuwepo baada ya Tuva. stesheni yenyewe si ya Baba Yako,Mama Yako,Mke wako ama jamaa zako. ni steshi ambayo wakenya wenyewe wameamua kusikiliza kwa hiari yao na kumbuka wasanii pia wanatoka katika jamii hizo.

Im very much aware am not perfect .mie pia nina kasoro zangu lakini usije ukazichukua too personal.

Kazi zangu na hata zile nimecollaborate na international artistes umekataa kuzicheza kwa madai sina heshima.Najua ! hahhaha kakangu sema sina hela hehe acha ku beat around the bush.

Ningependa nikujulishe ya kwamba nitakuwa naachia kazi mpya ,nina email ya kwako ntatuma. naomba uicheze usikilize maoni ya wakenya kisha ikipendwa na wakenya ibaki kwa playlist na ikiwa haitapendwa please unaezaitrush na utupe CD kwa dustbin jinsi ambavyo umezoea kufanya.

kumbuka na si kazi zangu tu,za wasanii wengine ambao majina yao yamo katika hicho blackbook.

SIOGOPI MTU ! mNITUME KABURINI MKIPENDA !

Diamond na Mzazi Tuva


Kutoka kwa: http://www.nairobigossips.com
#KING_LANG

#RELEVANT_DEEJAYZ_ENTERTAINMENT

#Mitego_Sasa_Blog/EA

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements

One response to “Mzazi Tuva sio mlezi wa vipaji!! 

  1. siezi mlaumu tuva hata kidogo..huyo msanii ajichunguze labda nyimbo zake hazina ujio flani kwa jamii..tunataka kitu kitaelimisha hatutaki midundo tu.

    Like

Comments are closed.