Jose Chameleone kuwasha moto Ethiopia

Mkali wa dancehall kutokea Uganda na ambaye ana sifa tele kwenye game la muziki anapania kuwasha moto Ethiopia.

Picha ya Jose Chameleone

Joseph Mayanja aka Jose Chameleone mwenye lebo kali ya muziki Leonel Island Music Empire,amekuwa akitesa kwenye muziki kwa muda mrefu.

Mkali huyo wa vibao kama vile ‘Sili Mujjawo’, atakuwa live jiji la Adis Ababa, Ethiopia tarehe 27th|may|2017 kwa ajili ya kutumbuiza mapja na bendi yake.

Kupitia account yake ya fb amepost hivi;

Ability is unlimited most especially when it’s by Gods Grace.

Many come but the chosen are few!!!

ADDIS ABABA
ETHIOPIA.

*JOSEPH*

It’s our turn to party!!!
With my 12piece Full Band!!!!!

27th | May | 2017

Kwa mengi zaidi check out kupitia, newbusinessethiopia.com

 

Advertisements