Fahamu aliyemleta Ali Kiba kwenye muziki

Je wafahamu kwamba binadamu huwa na vipaji vingi zaidi ila kimoja hufanya nyota kung’aa?

YAAAP

Haya basi fahamu kwamba mwimbaji wa bongo fleva gwiji anayefahamika kama Ali Kiba aliwahi kuwa mchezaji hatari sana Mwembe Fc Kariakoo kabla ya mke wa jamaa mmoja msanii kufumbua kipaji chake cha uimbaji.

Kiba aligundulika na Maria aliyekuwa kipenzi cha msanii Abby Skillz kipindi hicho, na hapo akamfahamisha Abby kuhusu kipaji cha Kiba na kumshawishi kumsaidia kupenya kwenye game la muziki.

abby

Abby Skillz

Abby Skillz ameelezea kipaji cha Kiba ambacho kilimpunga sana kwani alikuwa na melodies tamu na aliimba hadi nyimbo zake kwa ustadi mkubwa kuliko yeye mwenyewe.

MitegoEA.

http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

king kiba

Ali Kiba

Advertisements