Teaser: King Kiba Wimbo Mpya!!

Baada ya Ali Kiba kuwahi Europe kwa ajili ya music tour yake, ameachia teaser ya wimbo wake mpya.

kibaa

King Kibaa

King Kiba wakati akiwa stage kutumbuiza mashabiki wake wa damu aliimba kibao hicho live na sasa tutegee hit muda si mrefu.

Mkali huyo wa ‘Aje‘ bongo fleva anazidi kufanya mauzo nchi za ng’ambo ili kuletea heshima muziki wa bongo fleva lakini pia East Africa music.

Pata kutazama teaser hio hapa chini amabyo hatari yaani moto wa kuotea mbali.

#MitegoEA.

http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements