Rose Muhando kuhamia Kenya kisa uchawi bongo

Je uchawi upo? unaamini ushirikina na kama vipi fahamu kwamba ibilisi yupo ikiwa huna habari fahamu hilo.

Picha ya Rose Muhando

Rose Muhando

Mwimbaji maarufu wa inijli kutokea Tanzania anayefahamika kupitia vibao kama vile, ‘Nipishe Nipite, Nibebe, Jipange Sawa Sawa’ anakimbia nchi yake kisa uchawi.

Rose Muhando atakuwa akitua jiji la Nairobi kufanya makazi mapya ili kuepukana na vitina na mizizi ya uchawi iliyokita bongo. Nyota huyo atahamia Kenya pamoja na familia yake ili kurahisisha pia kuendeleza kipaji chake na kazi yake ya muziki.

#MitegoEA.

http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements

One response to “Rose Muhando kuhamia Kenya kisa uchawi bongo

  1. Hahaaaaaa,,, aty kisa uchawi??? anaogopa pastor aliyetishia kumuua kisa kutolipa deni yake, ,aliyolipiwa na uyo pastor kurekodi mziki, ju pastor anadai alipwe kwa kushiriki mapenzi na Rose

    Liked by 1 person

Comments are closed.