Madaraka Day live edition – Kifado family live!!!

Je, wewe ni mtu wa kupenda starehe, burudani na kijivinjari na washikaji katika sehemu mbalimbali? Basi usipitwe na hii bonge la show siku kuu ya Madaraka.

Hii ni baada ya vijana kutoka kaunti ya taita taveta,wakiwemo wasanii na wanasarakasi mbalimbali kutoka huku,akiwemo mkali  wakutajika ulimwenguni kwa majina: Patrick Kilonzo Mwalua anayejulikana kwa juhudi zake za kutunza wanyama pori, pia yeye ni ambassador, Tsavo voluteers…

taita

Hata hivyo mwanasarakasi na mmiliki mwenye show hii babkubwa, Dokta Dambel a.ka. Kifado mwenyewe,wasanii kama champion for christ band,Chidy wa mafilamu,Queen Beiber na Mr Tulu na wengineo. Usikose pia mix master Dj Kijana atawapagawisha kimziki.

Shughuli hii inafanyika ‘Dan Mwanzo hall’ hapa Voi town kuanzia saa 7pm, usikose kufika ili uone vipaji mbalimbali…pia kutakuwa na photoshoot.

#MitegoEA.

http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

mkazivaeunit.wordpress.com

 

Advertisements

One response to “Madaraka Day live edition – Kifado family live!!!

  1. Pingback: Madaraka Day live edition – Kifado family live!!! – Site Title·

Comments are closed.