Muziki Mpya: Belle 9 ft G-Nako – ‘ MA-OLE’

Ahaa!!, Baada ya kutisha sana kwenye remix collabo ya ‘Burger Movie Selfie, Give It To Me’ wakali hao wamerudi tena na kitu kipya.

belle

Ma-Ole

Belle 9 ft G-Nako Warawara wanakuletea kazi mpya kwa jina ‘Ma-Ole’ wimbo mzuka wako wewe kuskiliza na kushare kwa wana zaidi.

Afrika Mashariki inazidi kutanua kimuziki kwenye soko la ulimwengu.

Kupitia akaunti yake ya facebook, Belle 9 ameandika hivi;

Mabibi na Mabwana The wait is OVER #MAOLE @belle9 & @gnakowarawara šŸ”„šŸ”„šŸ”„šŸ”„šŸ”„ Available on Wasafi.com

Producer ni David Macode wa Vitamin Music Group

Click hapa chini ili kuskiliza kazi hio mpya kupitia wasafi.com

https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=463 #LEGO

#MitegoEA.

http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements