Mash Mwana video mpya -‘Niponye’

Alaa!! kumbe wasanii wenye mapozi kama  Willy Pozee ndio msimu wao wa kuachia hit songs zao. Basi kama huna habari fahamu hilo.

Baada ya mkali huyo wa gospel bongo kufunua dude jipya hapo jana siku ya Groove Awards, leo zamu yake Mash Mwana aka Mapozz kuachia kazi yake mpya.

Mwimbaji huyo ambaye amekuwa akitesa na ngoma kali zake kama ‘Naiwe, Hata Chelewa’ na nyinginezo, amekuwa kimya kwa muda na sasa ameuvunja ukimya huo kwenye ujio wa video yake mpya ‘Niponye’.

mash

http://www.soundcloud.com/antony-makenzi

Kichupa hicho ambacho kinapendeza ni kazi ya mikono yake director Boy P nayo audio ubunifu wake Paulo.

#MitegoEA.

Click:Page: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Facebook: Antony Mckenzie

Instagram: @mc.antony

Twitter: @antonymckenzie

Advertisements