Picha: David Beckham azuru Tanzania

David Beckham Club

Je una habari kwamba gwiji wa soka wa uingereza aliyekuwa staa klub kama Manchester United, Real Madrid, PGS na nyinginezo yupo bongo Tanzania?

David Beckham aka OBE raia wa England aliyestaafu kucheza soka japo sasa ni mmiliki wa club yake ya David Beckham Club huko Thailand, ametua nchini Tanzania katika shughuli za kutembea duniani hususan Africa kufurahia mandhari ya bara letu.

Staa huyo ameonekana katika hifadhi la taifa la Serengeti kutazama wanyama mbalimbali tu na kupiga pozi kwenye picha huku akiandikisha historia yake kuzuru Afrika Mashariki.

#MitegoEA.

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

http://www.instagram.com/@mc.antony

http://www.facebook.com/AntonyMckenzie

http://www.twitter.com/@antonymckenzie

Advertisements