Video Mpya: Timbulo – ‘NDOTONI’

Ewe shabiki wa muziki mzuri hii video mpya isikupite kamwe. Msanii mwenye ari na harakati kibao kwenye maisha yake pamoja na kazi ya muziki ameachia hit nyingine tena.

timbulo

Timbulo

Timbulo mwimbaji wa ngoma ‘Mfuasi’ ambayo ina zaidi ya views laki tatu na upuzi, ameachia video yake mpya ‘Ndotoni’ ambayo chini ya muda mchache imewahi views zaidi ya 23,000 kwenye YouTube.

Audio kazi ya producer Mr. T Touch kutoka Tanzania, na Video kuongozwa na Dr.Eddie wa Dream Land Music Empire.

Tazama video hio hapa chini.

#MitegoEA.

Click Page: http://www.facebook.com/MkaziaveUNIT

Follow Me On Social Media; 

Fb: http://www.facebook.com/AntonyMckenzie

Twt: http://www.twitter.com/@antonymckenzie

IG: http://www.instagram.com/@mc.antony

Advertisements