NewNewNewNew Music: Kenzo Matata -‘Niambie’

Kenzo Matata ameliamsha dude jipya na ambalo linatisha na kutesa kote.

Mwimbaji huyo ameachia single track yake juzi na sasa inafanya vizuri kwenye media na mitandao mbalimbali.

‘Niambie’ ndio kazi yake mpya inayoteka airwaves.

Pakua wimbo huo hapa kwa link ya Mdundo.com

#MitegoEA.

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Download my new single ‘niambie’ http://mdundo.com/song/89542

Advertisements