Ringtone kumtaka Huddah Monroe Kuokoka!!

Ufisire bado upo au ndio mafisi wamechorea tu?

Haya basi fahamu kuwa mrembo mwanadada ‘Socialite’ maarafu Kenya na sehemu mbalimbali, anatakiwa kuombewa wokovu na msanii Ringtone.

Ringtone na Huddah.

Mkali huyo wa ‘Pamela Njoo kwa Yesu’ ameona haja ya kurejesha mrembo Huddah Monroe katika njia za kumtumikia Yesu, na sasa anapania kufanya funga na kuomba kwa ajili yake.

Mwimbaji huyo ambaye anajiamini kumfanya Huddah kuachana na mambo ya kidunia, amepost ujumbe huo kwenye mitandao yake kijamii.

Je, unadhani ni kazi rahisi kwa Ringtone kumgeuza Huddah na kuokoka??

Video.
#MitegoEA.

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s