Movie: Dokta Dambel-‘Hatima’

Maisha ya wanadamu wengi ni kama vile movie au sinema jinsi wanavyoishi ulimwenguni. Kma wewe kipenzi cha filamu basi usikose hii kali kabisa..

Ni mwana sarakasi ,mzito kutoka pale kitaa cha Voi.. tukimfahamu zaidi na wenzake wa kundi lao linalojulikana kama “wafuasi treathe”

Dokta Dambel ni mwigizaji wa filamu kutoka pwani ya Kenya. Usikose kumfuatilia kwa mitandao ya jamii ,kama face book,twitter na pia youtube utampata..

Basi kwa uhondo kamili bonyeza hapa ili uone movie mpya aliyowaandalia
https://youtu.be/JO1IQ8XwRwY watch HATIMA by FOCLAPS FILM.

#MitegoEA.

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements