Ngoma Mpya: Ney Wa Mitego – ‘MOTO’

“Nataka kuwasha motooo, wasahaa washaa..” anachana mkali wa maskendo na hip hop bongo kwenye dude lake mpya ameliamsha.

” Huyu jamaa simpendi” anaendelea kusema msanii huyo wa ‘Wapo’ wakati anamalizia wimbo wake mpya huku akimrejelea prodecer wake Awesome japo kwa utani tu..

Ney Wa Mitego aka True Boy ameliamsha dude lake tena na hapa na washa ‘Moto’. Msanii huyo mara nyingi akiachia wimbo washabiki upagawa na mistari yake matata huku viongozi na wadau wa muziki wakipata muda mugumu kuelewa nyimbo zake kwani yeye husema ukweli na kuwachana watu wasiokuwa na maadili kwenye jamii.

Ney Wa Mitego.

Pata kuskiliza kazi yake mpya hapa chini. toa wazo lako kuhusu wimbo huo.

#MitegoEA,

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements