Lorry Madowo kuondoka #The Trend!!

Mabadiliko ni sehemu kubwa ya maisha na kila asubuhi kuna kucha na mapya. 

Ya leo kali kwani aliyekuwa mwanahabari wa masuala ya biashara kwenye runinga NTV Kenya anapania kujiuzulu.

Larry Madowo ambaye ndiye mshindi wa tuzo ya SOMA award 2017 kupitia show yake kubwa ya #The Trend baada ya kutajwa kuwa show bora ya TV Kenya.

Madowo ambaye ana uzoefu mkubwa kwenye show hio ambayo huruka kila Ijumaa usiku ametoa povu kuhusu watu ku copy ideas zake na sasa hataki tena kuendeleza hio show.

Mtangazaji huyo anayefahamika kupeperusha na kufahamisha Wakenya mambo mengi ya ulimwengu anaelezea jinsi anavyokerwa na watu hao na kusema ni wanafunzi wake.

“Kenyan television is an industry

of monkey see, monkey do…am done

giving people my ideas.” amesema Larry.

Hata hivyo hajaweka wazi atakayeendeleza show hio wakati akitoka ingawaje kuna mapendekezo ya majina kadhaa. Hata ni mojawapo.

*Njugush

*Eddie Butita 
Je ni nani atakayeridhi wadhifa huo na kujaza pengo la Larry kuondoka #The Trend!?

#MitegoEA.

Click: http://www.facebook.com/MkazivaeUNIT

Advertisements