New Music: Amos & Josh mpya kali -‘#695’

Mpya sasa kutoka Eastlando sehemu ambapo vipaji uchipukia kila kukicha.

Baada ya wakali hawa wawili kuachia track kali kali kama ‘Moto Moto, Baadaye,Tuachane’ leo wamezindua wimbo wao mpya.


Amos and Josh ni wasanii maarufu sana kutokana na ngoma zao zenye ujumbe na maadili kwenye jamii. Ngoma yao mpya wameshirikisha The Kansoul ‘#695.

Ngoma hio inazungumzia budget ya mwanaume kuwa na mwanamke sehemuza kujiburudisha. Kwa mujibu wao ni kwamba wana weza tu kutumia kiasi cha shilingi 695 kwenye maeneo ya starehe kama vilabuni na wapenzi wao.Ni ngoma inayoegemea upande wa wanaume kwani ina watetea kutokana na matumizi makubwa na gharama za fedha wanapokuwa na wapenzi wao kwenye hang outs. Producer Johari.

Wimbo huo utakuwa na video yake hivi karibuni kama maelezo amabayo wametoa kupitia #Maisha Concert Friday kupitia Radio Maisha na Alex Mwakideu pamoja na Nick Odhiambo.

DDjAdqgXoAUK1m5.jpg large

Nick Odhiambo, Alex na Amosh & Josh

Ngoma  hii hapa chini. Enjoy!!

#MitegoEA.

Click:www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements