Madini Classic azungumzia Ali Kiba na Wcb Wasafi

Dah! Kumbe baada ya msanii Rayvanny kutwaa tuzo ya BET 2017 huko Marekani bado kuna wasanii hawajampa jicho.

BET award 2017 yake Rayvanny.

Tuzo hio ambayo imetua bongo Tanzania mwishoni mwa wiki, imeleta heshima kubw ya muziki wa Afrika Mashariki lakini pia kwenye lebo ya Wcb Wasafi.

Mwimbaji anayeinukia kwa kasi kimuziki Kenya amefungukia suala la iwapo atajiunga na Wcb Wasafi au Team Kiba endapo nafasi akipewa.

Madini Classic mkali wa ‘Tawire’ amesema kwamba atajiunga Wcb Wasafi ila kama ni nafasi ya collabo basi kwa Ali Kiba. Kwa maelezo yake ni kwamba msanii Ali Kiba ni mkongwe kwenye game la muziki na pia ana nidhimu kubwa kimavazi, mwonekano na hivyo atajifunza mengi kwake. 

Madini Classic.

“King Kiba ni msanii mkomavu wala ana mavitu ya kitoto kama wale wa kuvaa earings, totoos na maswag ya mavazi ya kike. Pia nina ukaribu naye hivyo nitajifunza mengi kwake.” amefunguka Madini.

Hata hivyo licha ya kuwepo wasanii wakali Wcb Wasafi kama Diamond,Harmonize, Rich Mavoko, Rayvanny na wengineo kibao kwenye ubora wao, Madini bado anakazania kwa Ali Kiba.

Madini.

Ali Kiba.

“Sihitaji kiki nahitaji muziki mzuri kando na kutoa burudani kuna jamii inayokuja na ili iwelo lazma tudhibitishe kwamba sis ni kio cha jamii na hicho ni kitu kimoja kinaashiriana moja kwa moja na mziki mzuri mavazi ya kiheshma manake kando na sanaa na maisha yetu ya kila siku tunafamila na pia tunafaa kumpa mwenyez mungu shukran kwa kipaji kwa mkondo wa matendo mema Alikiba ni msanii ambaye ana ukomavu kwenye game labda huo ukaribu utansaidia kujifunza ni kwa jinsi gani naweza dumu kwenye game na kuinspire forth coming generation” yeye kamaliza hivyo.

 #MitegoEA.

Click: http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements