Rayvanny kubomoa Diani Mombasa

Mshindi wa tuzo kubwa duniani ya BET 2017 atakuwa live akikinukisha na kuzidi kutafuta kiki pwani ya Kenya siku ya Jumamosi.

Rayvanny ambaye amejinyakulia tuzo hio huko Marekani majuzi tu atakuwa akipiga bonge la show Diani Mombasa tarehe 8 July 2017.

Mkali huyo wa ‘Zezeta’ atapokelea na wasanii wa kaunti hiyo ya Mombasa watakao panda stage moja naye. Ray atashusha burudani kubwa siku hio kama pia mwendelezo wa sherehe zake za kushinda tuzo hio. Mc wakili watakuwepo kusabababisha ishu nzima kama vile Mzazi Willy M Tuva, Jamal Gaddafi na wengineo kibao.

Miongoni mwa wasanii wa eneo hilo watakaopandisha mzuka stejini ni pamoja na Mafisiolo Kenya.

Licha ya hayo Ray anasemekana kufungua recording music studio yake pia msanii Harmonize lakini chini ya Wcb Wasafi.

#MitegoEA

Click: http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements