“Sasa hizi ndio gani?” H_art The Band wapata ajali

the band.jpg

H_The band

Dah!! Majanga yanazidi kuwaandama wanamuzikiwa kundi maarufu Kenya la H_The Band kwani majuzi mmoja wao walifikishwa seli kwa kinachodaiwa alipatikana akivuta bhangi na polisi.

ajali

H_The Band wamemshirisha msaanii mkongwe kwenye muziki Lady Jay Dee kutoka bongo Tanzania kwenye collabo yao ‘Rosella’ lakini pia wanatamba Zaidi na single yao ‘Dem wa Mashisha’.

Hata hivyo wasanii hao wamehusika kwenye ajali ya barabarani baada ya gari lao kugonga basi la abiria kwenye sehemu ya nyuma.

hart

 

Kupitia kwenye mitandao yao ya kijamii wasanii hao wametupia picha ya ajali hio huku wakisema kuwa ameathirika kiasi lakini wana Imani watakuwa sawa kupitia dua za mashabiki wao.

“Truly, God is our Healer & Our Protector. This morning we got into a grisly accident & we Thank the Lord that none of us got seriously injured but one thing for sure is, for that split second just as we thought it was our last God rescued us & reminded us that truly, if the Lord is With You then nothing can harm you. We maybe in pain but don’t worry, we are OK *sisi ni maninja, we will survive*. Thank you all who put us in your Prayers Daily they keeps us going through our day., may the Lord Bless you” wameandika hayo.

#MitegoEA.

Leave your comment on the blog and share posts kindly.

Advertisements