Kidis The Jembe kujiunga Wcb Wasafi?

Lisemwalo lipo na kama halipo limo njiani laja.

Kumekuwa na penyenye kwamba lebo maarufu na inayokuwa kwa kasi barani Afrika huenda ikawa ina lenga kunasa saini ya msanii gwiji nchini Kenya.

Kidis The Jembe


Wcb Wasafi lebo yake Diamond Platnumz aka Simba imekuwa inatanua kila kukicha kwa juhudi za kusaidia wasanii wengi Afrika Mashariki.

Rayvanny, Dogo Janja na Produza Laizer


Kwa sasa lebo hii imesha saini wasanii kadhaa kama Rich Mavoko, RayVanny, Harmonize, Queen Darling miongoni mwa wengine. Huku producer wake akiwa ni Laizer aliskika pia akisema kwamba pia msanii yeyote anaweza kwenda kurekod hapo kwa bei nafuu.

The Jembe


Hata hivyo, Kidis The Jembe msanii kutokea Pwani ya Kenya amekuwa akitamba kupitia tracks zake moto kwani alishajizolea umaarufu kweli.

​Inakisiwa kuwa kuna uwezekano lebo ya Wasafi kumsaini na kuwa msanii wa kwanza kutokea Kenya kuwa chini ya lebo hio.

Kwa sasa The Jembe anatamba kwa wimbo wake mpya kichupa kinaitwa ‘Songea’.

Tazama Video hapa kwa link:

KIDIS – SONGEA [official Video HD]: http://youtu.be/GGiwbIF8cD4

Kwa Taarifa zozote za Habari, Michezo, Burudani, Mastaa, Biashara na Siasa, usikose kupitia hapa kuzipata. Karibu!!

Tufuate hapa; 

http://www.facebook.com/AntonyMckenzie

http://www.twitter.com/antonymckenzie

http://instagram.com/mc.antony

Email:kakakazungu@gmail.com

WhatsApp: 0702662012

mkazivaeunit


Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s